Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Zingatia maokoto........odds 72 fyekelewa mbali.....
Screenshot_20231203_233034_1xBet.jpg
 
Mwenye namba ya mawasiliano moja kwa moja betipawa anipe

Nilibetia hela yote tena nikiwa safari sasa nmekwamia kwa ndugu yangu nikisubiri malipo toka betpawa

nisaidieni jamani mawasiliano
IMG_3500.jpeg

Unaweza request free call au bonyeza hpo kweny telegram chapu yan inakupeleka kwenye nmb ya telegram huk naon wapo gud kujibu sms mkuu
 
My opinion hamna kizuri kilichobaki betpawa odds hamna options hamna bonus hamna ukijikaza Ubet hivyo hivyo hulipwi...🤣tuwasuse mpaka warudishe bonus huoni baada ya kuwakwepa wameshusha qualified odds from 1.35 to 1.25 Sasa tuendelee mpaka warudishe bonus yote la sivyo kila siku itakuwa vilio tu humu ndani
 
Back
Top Bottom