Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,248
- 4,675
Ndio nifundishe
Nimecheka sanaaWewe ni mnene unahitaji kupungua? au vidonda vya tumbo sababu ya stress, pamoja na kukosa hamu ya ngono?
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Maana huu Mchezo unaweza ukajiona kama hauna bahati pekeyako Dunia nzima vyivyohivyo unaweza jiona kama Dunia umeipatia kushinda watu wote duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]