Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nashangaa yaani...humu ndani watu wanashinda kila wiki ila codes hawaleti afu wanachukua tu za watu
Mkuu mbona code huwa naleta? Wadau huwa sileti code humu nalipia hadi VIP? mfano, leo nimeleta CODE 3 humu, ya kwanza imetiki tayari, ya pili imebaki mechi moja, je umeshinda tayari?
IMG_20231204_125251.jpg


Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Kubet ni USENGE. Siku ikikuendea vibaya utatamani UFE. Hata double chance imegoma aisee!
1701712889177.png

Wamepigwa kadi ya pili ili nikose kabisa. Na hawa mbwa wameongeza dakika 20 za nini? Huku Asia sitakuja kurogwa nikabet huku siku nyingine.
1701713025677.png
 
Kubet ni USENGE. Siku ikikuendea vibaya utatamani UFE. Hata double chance imegoma aisee!
View attachment 2833270
Wamepigwa kadi ya pili ili nikose kabisa. Na hawa mbwa wameongeza dakika 20 za nini? Huku Asia sitakuja kurogwa nikabet huku siku nyingine.
View attachment 2833272
Pole mkuu, team nyingi za Asia haziko serious me Asia, Romania, Latvia, Russia, Ukraine, Croatia, Israel Slovenia, Wales na Switzerland kubetia team zao bora nibetie Namungo. Hawako serious hata kidogo.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu, team nyingi za Asia haziko serious me Asia, Romania, Latvia, Russia, Ukraine, Croatia, Israel Slovenia, Wales na Switzerland kubetia team zao bora nibetie Namungo. Hawako serious hata kidogo.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Asante mkuu. Yaani haya matimu ya AFC hamna kitu kabisa aisee. Najuta kwanini niliyaweka kwenye mkeka wangu. Leo mingelala na pesa.
 
Nifundisheni kubet
KWANZA umekosea masharti ya humu

Huwa tunaanza kufundisha Kutukana matusi ya viwango vya platinum Ili kujiweka tayari.
Then ndio unaanza kufundisha.

Ila kama unadaiwa Vikoba,au umepokea Mshahara unausukumia humu,utazeeka kabla ya umri.

Lazima uwe na Maisha Yako ya ajira au Biashara na ku take Betting as SUB.Usidanganywe na Watu ooo kuna watu wanaishi Maisha mazuri ajira yao kubeti tuu,utapotezwa.
 
Back
Top Bottom