Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndio nifundishe
Wewe ni mnene unahitaji kupungua? au vidonda vya tumbo sababu ya stress, pamoja na kukosa hamu ya ngono?

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Nimecheka sanaa

Maana huu Mchezo unaweza ukajiona kama hauna bahati pekeyako Dunia nzima vyivyohivyo unaweza jiona kama Dunia umeipatia kushinda watu wote duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Midtylland karudi. Ashikilie hapo hapo sasa nipate hela ya kula maana mchana nimepiga pasi ndefu na usiku huu hakuna kinachoeleweka
🀣🀣🀣 hela ya kula umepata afisa maana midtylland anazidi kumkanda mtu kisawa sawa! Ukienda kula inabidi ule mpaka na cha kesho maana kanji hakawii kutulaza njaa huyu mshenzi
 
Hyo option ya ashinde 1 second half ..VP akishinda first half ndo imechana au?
 
Mbona mikeka inachana tu na odds natoa humu humu inamaana hamna mdau alieshinda mkeka hata mmoja
Mkuu kama unajilipua kwa mtaji mkubwa na unataka sure odds kuanzia 4 mpaka 10 hivi kutegemeana na fixtures za siku husika mimi nipo tayari kukusaidia. Huwa naleta hapa mikeka huwa siweki tiki mkeka ukitoa ndio maana watu wanailuka tu. Tangu jmosi namtandika sana huyu mshenzi sema tu sina mtaji mrefu halafu hela ninayopata kwenye kubet ndio iyo iyo ya kula na mambo mengine
 
Huwa nakuelewa Sana mkuu bless
 
Leo niliweka mikeka mitattu halaf yote ikachanwa na timu ya kwanza kabisa Uratu saa 11 nikaachana nayo sikurebet sahiz nafungua nakuta yote mitatu imetik timu zilizokuwa zimebaki [emoji27]
 
Leo niliweka mikeka mitattu halaf yote ikachanwa na timu ya kwanza kabisa Uratu saa 11 nikaachana nayo sikurebet sahiz nafungua nakuta yote mitatu imetik timu zilizokuwa zimebaki [emoji27]
Mimi alinichania zrinjski mchana nikarebet game zilizobaki maana mikeka yangu ikichanika basi ni game moja tu kwa kuwa game moja ishachana nikajua zinazobaki zitatoa tu
 
Acha usanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…