Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Subiria nimalizane na Mama Yako nitakujibu
Ndugu zangu... nawaombeni chonde chonde tusisaingize wazazi wetu kwenye malumbano.
Hivi thamani ya mama mnaifahamu lakini?
Assume ni mama yako anatukanwa aiseeee.
Hebu tukue akili kama tunavyokua miili jaman.
Level tulofikia ni mbaya.

Halafu why mama mama mama always... kwann msiseme mashangazi ama akina baba? Hivi mtu anayehangaika kukuleta duniani kwa taabu unamwona wa hovyo kiasi hicho? Dah inauma sana.
 
we jamaa kila mkeka ukituma huwa nakula... uwe unarusha mapema mkuu... nimetokea kuiamini hiyo site...
 
Mkuu Mimi naomba code ya leo nijaribu
 
Leo tuna mapema basi boss
 
Ni kama kujisumbua tu, code ambazo huwezi kuona hata siku moja kua watu wamepiga hela ndefu ni za nini sasa, ni afadhari ujihangaikie we mwenyewe tu
Boss hali ni ngumu sijajielewa kabisa kila nikitengeneza mkeka sipati kabisa timu moja au 2 au moja itoe droo .

Nakufaga vibaya roho inabaki kuuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…