Project Bombay 01 Updates - Day 04
Jana kanji aliingia kwenye mfumo, mikeka 15 kati ya 16 ilitiki. Huo mmoja ulichanika kwa sababu hiyo timu nilikuwa na wasiwasi nayo hivyo mkeka mmoja niliibetia kinyume chake ili ikichana kwenye mkeka mama, ifidie hasara kwenye huo mkeka mwingine. tumerudi tena tulipoanzia, ila kwa kuwa jana tumekula bingo hivyo kuanzia leo stake ya kila mkeka itakuwa 175 (100 x 1.75)
View attachment 2833511
kwa mara ya kwanza mstari wa faida umetoka kwenye negative
View attachment 2833513