007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 486
Edited 48775787E86174 betpawa
ngoja tuingie chimbo tuchekiHamna mikeka ya leo leo tubusti mitaji
Hamna mikeka ya leo leo tubusti mitaji
Ipo app ya microsoft ya android ila ni ngumu sana. Juzi nilitaka kujaribu kutumia simu ila nikaona miyeyusho nikaachana nayo. Ila inawezekana.wengine hatutumii PC, tunatumia simu za android.
kwa simu haiwezekani kuchora?
weka mkuu afu share code!Wakuu wa kazi hii si iwekwe kwa Code tupite nayo
KWANZA umekosea masharti ya humu
Huwa tunaanza kufundisha Kutukana matusi ya viwango vya platinum Ili kujiweka tayari.
Then ndio unaanza kufundisha.
Ila kama unadaiwa Vikoba,au umepokea Mshahara unausukumia humu,utazeeka kabla ya umri.
Lazima uwe na Maisha Yako ya ajira au Biashara na ku take Betting as SUB.Usidanganywe na Watu ooo kuna watu wanaishi Maisha mazuri ajira yao kubeti tuu,utapotezwa.
edited 33A55CFEdited 4877578
Saa 11 kamili mkae tayariLeo tuna mapema basi boss
Siweki code.Mkuu Mimi naomba code ya leo nijaribu
Saa 11 jioni nawekawe jamaa kila mkeka ukituma huwa nakula... uwe unarusha mapema mkuu... nimetokea kuiamini hiyo site...
Mkuu tupia lile jamvi mapema leoSiweki code.
Mimi mwenyewe naokotaga hapo, nachagua mechi zinazonitosha kisha naweka dau
Saa 11, naliokotaga sehemuMkuu tupia lile jamvi mapema leo