Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 2832753
WADAU IVI HAPO KWENYE MECHI YA MANCITY BETPAWA HAWAJA NIDHULUMU KWELI?
Nilikuwa nataka kushangaa inakuwaje wakufutie mkeka wako kirahisi wakati mimi tangu nianze kubeti na betpawa sijawahi kupatwa na hilo tatizo. Endelea kujifunza options ili uzijue zinamaanisha nini. Hapo ungewasumbua tu kuwapigia simu kumbe mkeka umechana.
 
Mkuu afisa ubashiri hauelewi hapo sasa usaidiweje? Sio kila mtu anatumia kampuni moja ndio maana nikaandika mechi na options
Huyu ni mgeni kwenye tasnia, it means hata teams hajui zinapatikana kwenye ligi ipi na Nchi gani. So ikiwezekana asaidiwe code. Ni vizuri kuona maadui wa Kanji wakiongezeka.
 
Mkuu you're judging too early!!! Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa huna idea yoyote na mambo ya IT!!.. Hizo ishu huwa kuna muda zinafail kusomana so kunatokea na delays za hapa na pale.

Unatakiwa ulalamike ishu ikichukuwa at least 3 to 4 hours. Sio fresh kutangazia makampuni ya watu kuwa ni matapeli hujui wamewekeza kiasi gani cha pesa. Pia hata wao wana familia, they have bills to pay.
Tuwe wavumilivu na ishu zinazohusiana na technology.
 
Umetisha umenipa pesa
 
Kwa wale wajasiriamali kula chuma hiyo utakuja kunishukuru baadae. Game zitaenda hadi tar 10. Ni uvumilivu tu na suala la muda.

City na Luton.... City win

Citt na Aston villa..... City win

Arsenal na Luton... Arsenal win

Arsenal na Villa... Arsenal double chance

Madrid na Bets.... Madrid double chance

Bayern na Frankfurt... ipe mechi goli mbili tu ama double chance kwa Bayern

Stuttgart na Leverkusen...mechi ipe goli 2

Dortmund na Leipzig...mechi ipe goli 2

PSG na Nantes... Psg win

Inter millan na Udinese... Inter win

Benfica na Farense... Benfica win

Braga na Vizela... Braga double chance

Porto na Casa pia.... Porto win

Sporting na Vitoria... Sporting win

PSV na Heerenveen...Psv win

Feyeenord na Volendam... Feyeenord win

Ajax na Sparta.... game ipe goli 2

AZ na Almere.... Az win


Tia mzigo wako J3 tukutane hapa
 
[emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491] tutakunywa chai wote j3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…