Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani sportybet Wana automatic cash out...yaani unaweka kiwango kikifika unachukua hela...yaani ni kama take profit kwenye forex afu bado unakuta mtu anabetia pawa. Mkeka wenye odds sawa sportybet ni Mara tatu ya hela ya betpawa...saa hivi nikiona betpawa codes najua kwamba
1. Ni Wakala wa betpawa
2. Kapigwa limbwata kafa kaoza kwa betpawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…