Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,494
Huwa unavhukua codes zote zinazowekwa humu?Fanya uwa cheki alafu mbona codes zake hukutuma humu
Wivu tu
Huwa unavhukua codes zote zinazowekwa humu?Fanya uwa cheki alafu mbona codes zake hukutuma humu
Nachukua zote,,, wivu gani kijanaHuwa unavhukua codes zote zinazowekwa humu?
Wivu tu
Nachukua zote alafu anziwekea dau mia miaHuwa unavhukua codes zote zinazowekwa humu?
Wivu tu
Kuna mwamba amewapiga 350milliob, wamempost huku machozi yanawalengalengaMbona sisi wanatupigaga Tena kama Ngoma zamu yetu ikifika ndo wanajifanya kushika spana kufanya maboresho ya system zao
BP
F00F0A4
Ahaa wafeeee tuKuna mwamba amewapiga 350milliob, wamempost huku machozi yanawalengalenga
Aisee. Kuna hii imebakia kwenye TREN letu la siku tatu Jana lilipita salama nilituma humu code na najua wengi waliipuuza Hila yaweza ikawa ndo ya kutuongezea mitaji 1FF8A82Duh basi sikuiona,, maana nilizochukua humu nyingine zilichana jana night ila kuna nyingine zinasurvive kwa mechi mbili za jana
F95005D edited bp7380468 - 25 ODDS BETPAWA
550043B - 8 ODDS BETWAY
BET WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE - STAKE LOW
IWE HERI KWETU SOTE!View attachment 2834339
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
42B7AF5 editedBP
F00F0A4
888stars kampuni pendwa market option kibao ila Sasa kumpasua kanji ishakua ndoto Wacha tuendelee na mapambano
Hii kampun bhana kwangu jau aifunguki hata888stars kampuni pendwa market option kibao ila Sasa kumpasua kanji ishakua ndoto Wacha tuendelee na mapambano
City nati zime legea .Aston villa over 0.5Aston villa vs Manchester city
Man City head to Head inambeba City ila napata ukakasi kumfata City maana doku,rodri na grealish awatohusika kwenye game ya Leo