mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
1mKiasi gani
1mKiasi gani
Fanya uwa cheki alafu mbona codes zake hukutuma humu
Ulifanikiwa kuwapata Jana?Fanya uwa cheki alafu mbona codes zake hukutuma humu
Kwann hawahusiki?? Na Liverpool vipi anaweza shinda kweli??Aston villa vs Manchester city
Man City head to Head inambeba City ila napata ukakasi kumfata City maana doku,rodri na grealish awatohusika kwenye game ya Leo
Sikuwa cheki maana kumbe mkeka ulichanika nikaja kuukuta chini chiniUlifanikiwa kuwapata Jana?
0764115588Wakuu naombeni namba za kuongea na . Sport pesa, mkeka wangu mzuri unaopumua wameuondoa asee
Ungetuma codes kaka nasisi tukuze mitajiHuyu kunguni Jana amekaa Leo ananiletea mapicha picha au ndo mbuzi wa masikini hazai Nini Sasa hiiiiii me nishakunywa supu pesa ya kulipa hipo uko SI nitaosha vyombo Leo Mimi😢
Kiaje masterBetPawa wamepigika
Mbona sisi wanatupigaga Tena kama Ngoma zamu yetu ikifika ndo wanajifanya kushika spana kufanya maboresho ya system zaoBetPawa wamepigika
Operation BombayProject yetu mpaka wafunge kampuni 🤣
Tuendelee na usukaji wa kumsepesha wakuu
Doku ana injury Grealish na rodri Wana kadi 5 za njanoKwann hawahusiki?? Na Liverpool vipi anaweza shinda kweli??
Kaka nilituma code bado inatembea hilikua ya odds nyingi ukitia buku inaleta mil 6 na code nyingine aliyopasuka niliokota humu humu na sikuifanyia hata editingUngetuma codes kaka nasisi tukuze mitaji
Duh basi sikuiona,, maana nilizochukua humu nyingine zilichana jana night ila kuna nyingine zinasurvive kwa mechi mbili za janaKaka nilituma code bado inatembea hilikua ya odds nyingi ukitia buku inaleta mil 6 na code nyingine aliyopasuka niliokota humu humu na sikuifanyia hata editing
Operation kanjiiiiiiiiiiBP C120D16
Naomba Verification ya hiii
Kanji akufe wakuu tushirikiane wote