Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aston villa vs Manchester city
Man City head to Head inambeba City ila napata ukakasi kumfata City maana doku,rodri na grealish awatohusika kwenye game ya Leo
Daah mi mwenyewe nilipata taarifa hizi jana kuwa Doku, Rodri na Grealish hawachezi nikaishiwa nguvu, kutoboa pale kwa Villa itakua ngumu bila ya hao watu.
 
hizi taarifa ni muhimu sana nlishasahau kuwa ha
Daah mi mwenyewe nilipata taarifa hizi jana kuwa Doku, Rodri na Grealish hawachezi nikaishiwa nguvu, kutoboa pale kwa Villa itakua ngumu bila ya hao watu.
o jamaa hawapo ngoja nikabadiri option afu betpawa walivowapuuz wameweka odds kubwa 1.91 kumbe wanajua wanalofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…