Well said.100% probability ya kucha odd 5 kushuka chini ni ndogo sana.tuseme almost kwa mwez unaweza chana mara 4 au 5.all in all mtaji ndio kikwazo cha wakamalia wengi.Kwenye betting hakuna uhakika mkuu, ndio maana unaitwa mchezo wa kubahatisha. Ila kwa mtazamo wangu huu mkeka una asilimia 60% za ushindi.
NB.Ndugu maafisa ubashiri wenzangu, ukweli ni huu mkeka wowote wenye multiple selections unaoanzia odds 5 na tuendelee uhakika wa kuwin huanza kuwa mdogo sasa, huwezi kukosa wapumbavu kama kina Frankfurt.
Kinachotu cost wengi ni mitaji, ila nina uhakika humu ndani kuna watu huwa wanapata hadi team mbili hadi tatu kwa siku walizo na uhakika nazo kuwa zinatoa matokeo. Changamoto huja pale zinapoongezwa team zingine ili kupata odds nzuri.
Naamini kama mtu unaweza kupata odds 1.5 hadi 2 ni odds nzuri kabisa za kukupatia pesa nzuri tu ikiwa utaweka stake nzuri.
Mfano, unaweza jiuliza, hivi ukiwa unapata 50,000 faida kwa ticket moja kuna ubaya? Hayo mamilioni tunayoyafukuzia kila siku tunayapata kweli?
Maisha ni mwendo wa pole ndugu zangu, kuliko hasara ya kila siku ni heri faida ndogo ndogo. Kwa kulijua hilo kina Mo na Bakhresa wananunua mitambo na mashine za mamilioni ili waje kutengeneza maandazi ya 100/200 hii ndio siri ya mafanikio.
Hiyo 20,000 - 50,000 tunayoiona ndogo kuna mtoto wa mtu anaamka saa 10 usiku anafua, anapika, anaangalia watoto, usafi na matusi juu ili aipate ndani ya mwezi.View attachment 2835079
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Una habari hiyo Timu iliyomfunga Frankfurt ndio huyo huyo aliyemtoa Bayern Munich au ulikuwa hujui?!Naona Frankfurt kaamua fungwa na kilaza
Ndio hicho ninachosema Mkuu, hata kama betting ni bahati kushinda odds 1.5 ni rahisi kuliko kushinda odds 10, 15, 20 .Well said.100% probability ya kucha odd 5 kushuka chini ni ndogo sana.tuseme almost kwa mwez unaweza chana mara 4 au 5.all in all mtaji ndio kikwazo cha wakamalia wengi.
Ni kugusa kama ujerumani.....Sasa hivi EPL magoli ni chap tuu
Uhakika.Hii 99.9% itatoa
Goli moja unalichukuliaje hahahaCopenhagen fambq kwel over o.5 ina mtoa jasho
Well said.100% probability ya kucha odd 5 kushuka chini ni ndogo sana.tuseme almost kwa mwez unaweza chana mara 4 au 5.all in all mtaji ndio kikwazo cha wakamalia wengi.
Hahahah mkuu hilo limeshaanguka. Kwa sababu una lost nyingi kwenye settled betslip ndio maana hulioni. Hiyo inatokea kama treni ni siku nyingi. Endelea ku'scrow down utaliona tu.Maofisa ubashiri kuna jambo haliko sawa.
Kuna treni la mechi 49 lilikuwa linatembea vizuri mpk kama dakika 4 zilizopita zilishatick mechi 26 Betpawa wamelipoteza halionekani kwenye settled wala open.
Hii case mmewahi kukutana nayo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kanji akimchek Porto anacheka tu
wanapelekewa moto balaa imenibidi nicash out tu mda huu wamapumziko....hawa aston villa leo wamepania!Niko naangalia Liver yangu naomba kuuliza hizii takwim nazoona hapa kuwa city anapelekewa moto ni sahihi?
Vijamaa vina shoot on target 4 na off taget 4 kona 3
wanapelekewa moto balaa imenibidi nicash out tu mda huu wamapumziko....hawa aston villa leo wamepania!