Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,133
Lishadondoka kitambo tuu mkuu [emoji1787]Maofisa ubashiri kuna jambo haliko sawa.
Kuna treni la mechi 49 lilikuwa linatembea vizuri mpk kama dakika 4 zilizopita zilishatick mechi 26 Betpawa wamelipoteza halionekani kwenye settled wala open.
Hii case mmewahi kukutana nayo?
Hivi villareal ameshindwa kifunga goli hata moja hadi sasa?
Liver mbona ana magoli mawili mkuuSi bora Villareal iv Liver ambaye kila siku anapiga goli 3 ni wa kupata kagoli kamoja kweli?
msimu huu timu zote kubwa pale epl hazisomeki! Jana arsenal nae alitaka kuniua na pressureView attachment 2835182
City akipoteza hii game basi msiimu huu ntaanza kumtilia mashaka ubingwa maana big six atakuwa amempiga Man u pekee na kama huwez kushinda kwa wapinzani wako ngumu kubeba ndoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ili ujue betting ngumu nimeweka mzg kwa
Match ya liver itoe 2.5
Bayern leveks itoe over 2.5
Man city itoe over 2.5
Mpk sahiz liver dalili hakuna na wakat kila mechi ya liver huwa ina goli nyingi
Betting haina formular unaweza iamin hata city pekee ukacheza mechi moja direct win na bado isitoboe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu vipi mbona unanichana kimasihara! Amekuchania nini!!Mbwa ni wewe unaeombea wengine wafungwe, kumbuka kila timu ilifanya usajili Kwa kutumia pesa za kutosha sio matako, yaani waachie goli ili wafurahishe elfu kumi yako
Ndio vizuri ili afunguke apigwe cha pili ili mikeka iendelee kupumua.Man city kachakaa
Kwa aliyempa direct win saizi yupo chooniNdio vizuri ili afunguke apigwe cha pili ili mikeka iendelee kupumua.
Hapo ndipo pagumu!Kwa aliyempa direct win saizi yupo chooni
Na Mwenzie Man CityKanji akimchek Porto anacheka tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikeshi auti 2000 nilikua nmeweka 50000 kwa city
Kuna muda ukifika unakuta Timu zinapewa mitusi na Laana kama zote 🤣🤣🤣Nikiwaga nina stress huwa natembelea hili jukwaa kuondoa Stress🤣🤣🤣🤣🤣