Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa umeongea point mkuu
Utakuta mtu anakuambia stake High ndio unatoboa,Sababu odds Chache wakati hata singles tu zinachana balaa.

Hata huyu Arsenal kuna Siku ata tu surprise.

Unakuta mtu amestake 500 katoboa mkeka wa zaidi ya laki Moja,huku mtu mwingine la stake 50,000 mechi 3 na umechanika

Muhim nikuomba tu Bahati ipite aisee
 

Mkuu Hakunaga 100% sure bet.... HAIPO

Lakini pia betting ni PROBABILITY....... we pick mostly like to happens(Ilikua ni ngumu kumeza jana kumuua Man C na kustake high)...

Na kwakuwa betting ni probability maana yake ni kwamba it’s more likely kuotea matokea ya game moja kuliko kuotea matokeo ya game 50

Numbers don’t lie
Bookies wanapoteza hela nyingi sana kulipa punters kwenye single bet na mikeka mifupi sana na wanatengeneza hela ndefu sana kwenye matreni.......Bookies sio wajinga kutoa BONUS hadi asilimia 500 ili kukushawishi ujaze game kibao kwa mkeka(wanajua probability ya kupatia game nyingi ni almost 0%)

Si maanishi kwamba haiwezekani kushinda treni..... but what a chances?
Dont fall na drama za wanaijeria X wanao win odd 500+ daily [emoji23][emoji23]
 
Jana man city alikua kwny mikeka mitano manina zake na yote ni shwaaaah
City win[emoji724] kwa mama ako wakanambia
City double chance X2 [emoji724] utajua hujui
City apate goli mbili [emoji724] njoo ucheze wewe
City win either half [emoji724] [emoji867]
Aston Villa win to nil No [emoji724] [emoji23][emoji23][emoji23] daaah
Nazidi kuchoka wakuu nifanye nn na mm nipatie hata weeknd hii sio vzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…