Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

B81C28B - 5 ODDS BETPAWA

IWE HERI KWETU SOTE!
IMG_20231207_075945.jpg

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Ndio ushangae sasa na wewe Mkuu. Maana hiki nilichoandika humu ndicho ninachokifanya na kinanipa faida, so nina experiance nacho. Halafu kuna mtu anakuja na idea eti tren la team 20 au 50 ni rahisi kushinda kuliko team 1-3 kwenye zenye odds 1.5 - 3 serious? Yaani maana yake ni kusema wenye matreni humu wanakula kila siku kuliko wewe, maana huwa naona unacheza odds ndogo na mostly zinawin. Sio kwa ubaya, kila mtu aendelee kuamini instinct zake.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Watu wengi wanaamini katika kulala masikini na kuamka tajiri, mfano mdogo tu, ukiweka treni la timu 20 na ukabeti kwenye market yenye matokeo matatu, kama kushinda, sare na kushindwa. mkeka huo utakuna na chances billioni 3 na millioni mia nne na malaki yake kibao. katika hizo chances zote hizo yako ya kuwin ni moja tu, hizo zilizobaki zote ni za kanjibai.

simple mathematics.
 
Huwa nikichukua code yoyote ya mtu humu.... Ninapoifungua..... Nikikuta mtu kaweka option ya HOME or AWAY.!...

Naachana kabisa na hiyo code!... Hata ingekuwa nzuri namna gani...
Unaelewa kwanini!?..

Amesort kwa kutumia hisia.. na hiyo ya Home or away..

Hisia zimeishia hapo....ama uwezo wa kufikiri!....

Anaamua liwalo na liwe!....

Then mechi inaisha 1- 1

Anabaki kujitukana! Mwenyewe

Ni option moja ya kitaahira sana!.... Sitaki hata kuisikia!
 
Hakuna option ya kitaahira mkuu. Tuseme tu ni bahati.. Hakuna hata option unaweza iamini kwenye betting. Otherwise mikeka ya won ingekuwa Mingi Sana hukuuu. Hata wewe unaweza ukawa hutumii hisia but bado kutoboa shughuli. Kabla mechi haijacheza option zote Ni sahihi.
 
Hii ndoa betting nayojua mimi, kuna kuaga na someone, somewhere huwa na matokeo sahihi na ya tofauti na wengi wao...na atapiga hela, tatizo la humu wengi wao hufanana kwenye kuweka mikeka na hata code zao zinafanana ndoa maana timu zikizingua basi codes za humu zote zinaondoka na kijiji kwasababu zinafanana, unakuta timu kadhaa zipo kwenye codes zote na zina option inayofanana, ikichana tu basi ujue mikeka yote uikuti kwenye open bets [emoji38]
Mkuu wewe unaweza ukasuka treni ukaiua Man City? Hii ni ajali tu kwenye betting. Jana Aston villa kamfunga City lakini utakuja kushangaa Villa anachezea goli hata 4 kwa Arsenal.

Kwa hiyo tunabaki pale pale huu ni mchezo wa kubahatisha.
 
Huwa nikichukua code yoyote ya mtu humu.... Ninapoifungua..... Nikikuta mtu kaweka option ya HOME or AWAY.!...

Naachana kabisa na hiyo code!... Hata ingekuwa nzuri namna gani...
Unaelewa kwanini!?..

Amesort kwa kutumia hisia.. na hiyo ya Home or away..

Hisia zimeishia hapo....ama uwezo wa kufikiri!....

Anaamua liwalo na liwe!....

Then mechi inaisha 1- 1

Anabaki kujitukana! Mwenyewe

Ni option moja ya kitaahira sana!.... Sitaki hata kuisikia!
Mkuu wewe unaweza ukasuka treni ukaiua Man City? Hii ni ajali tu kwenye betting. Jana Aston villa kamfunga City lakini utakuja kushangaa Villa anachezea goli hata 4 kwa Arsenal.

Kwa hiyo tunabaki pale pale huu ni mchezo wa kubahatisha.
Mi man city hakuniua maana nilimpa handcap ha goals 2. Aliyenimaliza jana ni Copenhagen aiseee. ila all in alk twendelee kujifunza
 
Huwa nikichukua code yoyote ya mtu humu.... Ninapoifungua..... Nikikuta mtu kaweka option ya HOME or AWAY.!...

Naachana kabisa na hiyo code!... Hata ingekuwa nzuri namna gani...
Unaelewa kwanini!?..

Amesort kwa kutumia hisia.. na hiyo ya Home or away..

Hisia zimeishia hapo....ama uwezo wa kufikiri!....

Anaamua liwalo na liwe!....

Then mechi inaisha 1- 1

Anabaki kujitukana! Mwenyewe

Ni option moja ya kitaahira sana!.... Sitaki hata kuisikia!
Wanampigaga mshindo mechi nyingi wanacheza direct win Mzee
All in all huu ni ubashiri
 
Back
Top Bottom