Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 7,376
- 16,539
Tukaze roho tuMwenyewe namtegemea yeye niamke vizuri asubuhi naona anadema dema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukaze roho tuMwenyewe namtegemea yeye niamke vizuri asubuhi naona anadema dema tu
Hii huwa Ina record nzuri, huenda ikashinda, unless kama michuano aitumie Kwa kikosi cha pili maana ulaya Kila kikombe huwa kina wachezajo wake
Ndo nachokiona,kikosi ina mchanganyikoHii huwa Ina record nzuri, huenda ikashinda, unless kama michuano aitumie Kwa kikosi cha pili maana ulaya Kila kikombe huwa kina wachezajo wake
Qmmake Newcastle pata goli basi
Inawezekana ikatoka draw ya 1-1Nilijitoa muhanga na over 1.5
Dadeki
Sio anataka,ameshaharibuGirona anataka kualibu shughuli
Acha tu ndugu, mpira mchezo wa hatariNilijitoa muhanga na over 1.5
Dadeki
WON[emoji736][emoji736]B81C28B - 5 ODDS BETPAWA
IWE HERI KWETU SOTE!
View attachment 2835740
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Hongera asee over 2.5 ilikua odds 10Nilijitoa muhanga na over 1.5
Dadeki
Sio ww tu mm liipa over 3.5 kabisaKuna hii mechi ya Feyenoord vs Volendam
sitoisahau hii mechi kidogo nizime kwa presha
NIHESABIEHaya leo kula 1x ya everton au kama una rroho ngumu kula win kabisa
Jitusu ule win ya newcastle