Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pia kwenye kuchagua direct win ni muhimu sana kuangalia matokeo ya timu ya mechi tatu zilizopita kwenye ligi husika.
Mfano Barcelona anawin hata mechi ngumu, huyu ndiyo unaendelea naye kumpa direct win hadi siku aanze chana.
 
Sio ww tu mm liipa over 3.5 kabisa
Boss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose

Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala

Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94

Hakuna timu kibonde
Screenshot_20231208-065542.jpg
 
View attachment 2836177
Watu wengine..... Hata mkiliwa ni sawa kabisa!....

Stake ya 404,000 unatafutia faida ya elf 10!?.... Shiit.....

Mkeka wa dizaini hiyo ukichanika... Huwa nafurahi mnoo!!! Utafikiri nimekula vile!
 
Boss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose

Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala

Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94

Hakuna timu kibonde
View attachment 2836177
Mkuu mtaji huu wote nataman niwe nao unauletea masihara....meme nifika huo mtaji mrusi atafurahia shooo
 
Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.

.
 
Back
Top Bottom