Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nawaza na kutafakali...

Hivi huu msimu arsenal watafanya ujinga na kuukosa ubingwa wa EPL?!!


Nawaza tu
 
Kama unapunguza timu kwa hii code....

•Toa timu za Iran pekeyake! Tatu za over 0.5,
•Moja ya rwanda it's 50/ 50 over 1.5,

Then Stake hii code kibabe....! ukiwa umevua Shati kabisa!!!

32CCD039 Sporty
 
Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.

.
Hao wahuni ni wengi sana betting ni bahati tu na kufatilia historia ya timu ,kumwamini mtu na kumlipa akutumie mkeka eti sure odd huko ni kujitia kitanzi km yeye ni betting master si angebet mpunga mrefu akaachana na njaaa njaa za kushadadia magroup
 
Nawaza na kutafakali...

Hivi huu msimu arsenal watafanya ujinga na kuukosa ubingwa wa EPL?!!


Nawaza tu

Arsenal hawez kubeba ubingwa ndg bado hana kikosi imara cha kumudu nyakati ngumu
Hebu apate majeraha ya Rice na odergad ndo uone kitatokea nn? Halaf msimdharau City hata kdg me nishashindana nae mara 3 najua ubora wake huwa ni mwisho wa Ligi
Zile mechi 10 za mwisho City huwa anashinda zote narudia zote na wakat pale ndo huwa timu zimetumika wachezaji wameanza kuchoka na wengine wanapata majeraha
Still ubingwa watakaoshindana ni Liver na city basi huyo Arsenal tumsifu tu Arteta ni kichwa mzur sana maana ameweza kutengeneza timu bora tofaut na ilivyokuwa na anatupa ushindani but ubingwa never
 
Nawaza na kutafakali...

Hivi huu msimu arsenal watafanya ujinga na kuukosa ubingwa wa EPL?!!


Nawaza tu
Siyo kuwaza mkuu inabidi ashinde mechi muhimu, weekend hii anaenda villa park ambapo mwenzie kaacha zote 3, akitoka hapo anaenda anfield usishangae baada ya hizo mechi mjadala ukabadilika tena ikawa top four badala ya ubingwa🏃🏃🏃
 
46FB3C | SportyBet

Huu mkeka nimeusuka nikiwa juu ya kifua cha mtoto wa kipemba

Weka ukoo wenu wote, kama huna stake kakope 🔞
We Koma we,tena wewe ndio nilikuwa nakutafuta,maana nilikuwa namtafuta Binti Yangu kumbe yupo kwako na unajisifia alaaa

NALIA NGWENA umesikia mfalmeee hukuuu,haya Kakopeee uje hukuuu
 
Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.

.
Sio kudanganya watu, ni watu hao waliotuma pesa ndio wajinga. Hakunaga fixed match kwenye betting. Huwezi kulipia ili eti upewe sure odds wakati Hakuna anayejua matokeo kabla ya mpira..watu wajifunze kuwa betting Ni bahati nasibu tuu.
 
Betpawa

B2EDBBE
20231208_111539.jpg
 
Boss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose

Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala

Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94

Hakuna timu kibonde
View attachment 2836177
Mkuu level yako ya kujilipua ni kubwa sana 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom