Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Ungestake 10K ungechanika mapema....betting ni uchawiMaajabu ya betting haya nimestake buku kutafuta laki mbili na usheee imeshindikana nikaona si mbaya nikastake shilingi mia hamsini (timu kumi) kutafuta shilingi 1100 naona mkeka unazidi kutembea tu hadi natamani ningelistake 10000 asubuhi ningeliamka na Hela ya maana
Mie jana nimeshare code hapa nikiwa na uhakika 100% mkeka utatiki...game mbili tu mkeka chaliiii