Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Iv kuna tumu inaongoza kwa kuchana kama Ittihad?
Hao waarabu tushaongea sana Humuu mpaka tumechokaaa..
Si Al nasr.. sio Al hattihad wote Wangeseee tu yani huko umebet sana Magoli sio Direct win hata double chance.
 
Maajabu ya betting haya nimestake buku kutafuta laki mbili na usheee imeshindikana nikaona si mbaya nikastake shilingi mia hamsini (timu kumi) kutafuta shilingi 1100 naona mkeka unazidi kutembea tu hadi natamani ningelistake 10000 asubuhi ningeliamka na Hela ya maana
 
unaweza kuona kama mkosi na majini ya Kanji vinakuandama. ukistake high mkeka unachana, ukistake low hauchani.
 
Maajabu ya betting haya nimestake buku kutafuta laki mbili na usheee imeshindikana nikaona si mbaya nikastake shilingi mia hamsini (timu kumi) kutafuta shilingi 1100 naona mkeka unazidi kutembea tu hadi natamani ningelistake 10000 asubuhi ningeliamka na Hela ya maana
Stake laki Moja ktk Mechi zilizobakia uone mrejesho wake Mkuu

Betting haina mfumo ohhh sijui stake High Mechi mbili au Tatu.
Nikifika utavyojiskia tu then Bahati ije kama Jina lake
 
Maajabu ya betting haya nimestake buku kutafuta laki mbili na usheee imeshindikana nikaona si mbaya nikastake shilingi mia hamsini (timu kumi) kutafuta shilingi 1100 naona mkeka unazidi kutembea tu hadi natamani ningelistake 10000 asubuhi ningeliamka na Hela ya maana
Mi mkeka niliostake 3000 umekatika, nilioweka sh 65 iliyosalia kwenye account tena odds kubwa kubwa unaendelea kusogea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom