Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Boss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose

Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala

Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94

Hakuna timu kibonde
View attachment 2836177
Watu mna risk kweli kweli
 
Najibiwa hivi wadau wa 1xbet.Nifanye nini?
Screenshot_20231208-180004.jpg
 
Nimerudi tena baada ya jana kulala na viatu, Newcastle na Shoga ake Tottenham kuamua kutanua miguu na kuchochewa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] spurs ni mkuda , kanialibia tren langu Jana, la 6 sita yani?
 
🤣🤣🤣🤣 dah ila humu ndugu Huwa maneno yenu yananichekesha sana. Ila sio kesi betting ni kisanga.
 
Boss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose

Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala

Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94

Hakuna timu kibonde
View attachment 2836177
Seriously??una risk hela yote hiyo kwa ajili ya elfu kumi tena ndani ya dk zote 90???
 
Back
Top Bottom