Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Ila humu 🤣🤣, mbona huu mkeka nilituma Mkuu kabla?Mkibahatisha ndio natuma mikeka yenu
Ila humu 🤣🤣, mbona huu mkeka nilituma Mkuu kabla?Mkibahatisha ndio natuma mikeka yenu
WON✅✅✅
Wewe ni ni master wa soka🙌Ila humu 🤣🤣, mbona huu mkeka nilituma Mkuu kabla?
Shukran Mkuu, jiandae kesho naweka odds 4 tutawin Inshallah. Mhindi sio mgumu kama tunavyomfikiria, anapigika vizuri kabisa, kikubwa ni kupunguza tamaa. Tangu last week jumamosi kanipatia 2,450,000Wewe ni ni master wa soka🙌
kabisaa! pacha wake porto nae kesho anaweza kuchafua hali ya hewaLigi za ureno ( Portugal) sio za kutengenezea mkeka kabisa [emoji23][emoji23]
Mkuu ushauri wangu kwako japo imani zetu ni tofauti katika betting.Haya mambo ya kubet haya siku nitakufa Kwa ugonjwa wa moyo, yani Nina wiki ya Tatu sipati usingizi Kwa kufatilia mikeka tu afu ajabu inachana, yani kulala kwangu ni asubuhi ya saa kumi na moja
BBBE616 edited
Sheikh ikiwezekana pumzika kubet kwa muda aisee, game zote unaenda tofauti 😃YANGA WIN
AL AHLY WIN
JUVE VS NAPOLI GG
AL NASSIR UNDER 3.5
mwisho ungezea na PRISON
RISK WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE.
[emoji1787][emoji1787]Sheikh ikiwezekana pumzika kubet kwa muda aisee, game zote unaenda tofauti [emoji2]