Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu ushauri wangu kwako japo imani zetu ni tofauti katika betting.

Acha kuamini matreni na odds kubwa kubwa, ni vizuri kucheza matreni kwa stake ndogo, ila at least uwe na mkeka mwingine wenye odds chache na stake kubwa ambao una possibity kubwa ya kushinda.

Mfano tangu siku ile unadisi kuwa huwezi kucheza kwa laki kwa faida ya mbuzi, hizo laki kwa odds ndogo zimenipa faida ya 500,000+ kuna hasara gani ingali hii ni take home ya mwalimu degree holder monthly?

Hizo faida kubwa unazozitafuta unazipata? unafuu uko wapi kulala na 100K faida au na manung'uko kila siku? Badili aina uchezaji, jifunze ku lower expectations, acha kuchase loss, anza taratibu utafikia hatua nzuri kabisa.

Hii CODE ilikuwa humu ila hukucheza kwa kuwa unataka pesa nyingi, ungeweka hata 20,000 si ungelala na faida ya 20K nyingine? ni biashara ipi hapa duniani hurudisha faida mara mbili?View attachment 2837086

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu pesa gani hiyo bhnaaa, mm nafukuzia million mia na ipo siku atanasa tu acha aendelee kuniumiza
 
Ulaya msimu wa baridi

Ni mechi chache sana zinatoa over 3.5
Lakini hii ni betting yaani unaweza weka under 3.5
Wajinga wakafungana 2-2 au zaidi

Mimi kuanzia leo ni mwendo wa under 3.5 baadhi ya mechi

Betting sio bahati tu , hardwork (uchambuzi) halafu bahati inafuata baadae

Kama betting ni bahati tu, tungekuwa tunaingia katika website au app za makampuni husika halafu tunaweka option yoyote si bahati
 
Back
Top Bottom