Sedimentary
JF-Expert Member
- Jan 7, 2022
- 250
- 436
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo nimegundua wanawake wanatia gundu mikeka. Bora mtu uokoke au uwe ostazi ndo uanze kubeti.!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo nimegundua wanawake wanatia gundu mikeka. Bora mtu uokoke au uwe ostazi ndo uanze kubeti.!!
Sheikh ikiwezekana pumzika kubet kwa muda aisee, game zote unaenda tofauti
Betting NI BAHATI ZAIDI.Leo nimegundua wanawake wanatia gundu mikeka. Bora mtu uokoke au uwe ostazi ndo uanze kubeti.!!
NIMECHEKA KINOMA [emoji16]Haya mambo ya kubet haya siku nitakufa Kwa ugonjwa wa moyo, yani Nina wiki ya Tatu sipati usingizi Kwa kufatilia mikeka tu afu ajabu inachana, yani kulala kwangu ni asubuhi ya saa kumi na moja
[emoji16]Leo nimegundua wanawake wanatia gundu mikeka. Bora mtu uokoke au uwe ostazi ndo uanze kubeti.!!
Endelea kusubili Meli airport mkuu[emoji23]Na shida na odd kuanzia 200 kwenda juu, niweke hata buku nipate mkwanja Leo leo
😂Mpaka tufike tutagundua mengiLeo nimegundua wanawake wanatia gundu mikeka. Bora mtu uokoke au uwe ostazi ndo uanze kubeti.!!
Tukapasuka vizuri kabisa bila tabu... Japo young africa . . Ilikuwa ishindeYANGA WIN
AL AHLY WIN
JUVE VS NAPOLI GG
AL NASSIR UNDER 3.5
mwisho ungezea na PRISON
RISK WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE.
Hio mbona Ina wiki mbili Sasa nikajua wamerudisha bonus kabisaBetPawa itakuwa imerudisha hasara.
Maana naona wamepunguza odds katika bonus zao, 1.25+
Oooh, kitambo sijaitumia BPHio mbona Ina wiki mbili Sasa nikajua wamerudisha bonus kabisa
Pole mwalimu Mpwayungu. Yaan hicho kishkwambi ulichopewa msaada na serikali ndio unatumia kwenye kubetia?Haya mambo ya kubet haya siku nitakufa Kwa ugonjwa wa moyo, yani Nina wiki ya Tatu sipati usingizi Kwa kufatilia mikeka tu afu ajabu inachana, yani kulala kwangu ni asubuhi ya saa kumi na moja
Ndo vizuri...mi nakuambia ukitoa invigilator wa odds 5 2 1 na nusu ambae angekuwa anashinda more money in sportybet...hamna mtu anashinda hela ya maana tokea betpawa wafanye uhuni...watu wanalazimika kuweka odds kubwa options ngumu ili wapate bonus nzuri afu ni vilio tu kila siku... sporty Kuna hela nzuri, Kuna auto cash out..still they won't understandOooh, kitambo sijaitumia BP
Kumbe Ina muda.🙏