Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pale unapompa mtu Corners

Screenshot_20231208-142801.png
 
Msiseme sinajaambia:-

-YANGA:- over 0.5
Medeama niliwailona Mechi zao zoote,hawana uwezo wakuzuia kufungwa hata goal kwa mfumo wa Yanga.

- KITAYOSE over 0.5
Striking force yao kwa beki za Ihefu hawana nanna

- MASHUJAA vs PRISON over 1.5


Tukutane Saa tatu
Hapo nakuunga mkono ila kwenye mechi ya mashujaa naona tumpe Prison afunge goli moja yeye mwenyewe maana nafatilia ligi prison ni ngumu kushindwa kumfunga mashujaa hata goli moja japo mpira unadunda
 
Codes nyingi humu timu ni zile zile ,unakuta timu moja au tatu zinachana mikeka yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa...lakin pia shida sio kuwa na timu zilezile lakin unakuta option zinafanana pia...kwasabab timu kama haijakupa direct win basi inaweza kupa corner ama GG ama ipate tu goal ama card ama ushindi wa half ama option yoyote ile...

Nashauri wanao copy wajaribu na ku edit kidogo akiona timu nyingi zinaingiliana kwenye mikeka yake
 
Hapo nakuunga mkono ila kwenye mechi ya mashujaa naona tumpe Prison afunge goli moja yeye mwenyewe maana nafatilia ligi prison ni ngumu kushindwa kumfunga mashujaa hata goli moja japo mpira unadunda
Safi Mdau,
Sote mawazo yetu yametimia
KITAYOSE over 0.5 imetoa
PRISONs vs Mashujaa over 1.2 imetoa na over 0.5 to Prison imetoa maana kamla mtu 2 bila

BADO Mechi ya YANGA tupate supuuu
 
Back
Top Bottom