Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daah aisee nimempa sydney ashinde either win alafu kuna muhuni mmoja kala umeme mapema tu hapa ndio huwa nachoka kabisa..siku imeharibika mapema xana simba nae akipigwa na wydad leo hakika ntakua na siku mbaya sana
Braza kweli unampa simba leo atoe matokeo kwa wydad na unajua kabisa wydad kapigwa mechi 2 sahz ana point zero na hyo ndo mechi yake ya kufa na kupona na yupo kwao! Hata kama kubet ni bahat ila sio kwa namna hyo aisee! Mie ni shabiki wa simba damu damu ila sioni leo simba akitoa hata droo hata goli tu itakuwa ngumu na akitoa goli basi atakuwa kashapigwa tatu
 
sijabetia hiyo game ya simba najua ni game tough sana, ila nimesema simba asiposhinda leo ataniharibia siku sababu mimi ni simba kindakindaki!
 
Man Utd ndo timu pekee kwenye ligi kuu England msimu huu ambayo haijapata sare.Wamecheza michezo 15 wameshinda 9 na kufungwa 6Yanii ni ushinde au wao washinde, mambo ya kugawan
Man Utd ndo timu pekee kwenye ligi kuu England msimu huu ambayo haijapata sare.Wamecheza michezo 15 wameshinda 9 na kufungwa 6Yanii ni ushinde au wao washinde, mambo ya kugawana point hawatakiii
 
Arsenal leo win
Man United win
Rangers achana nae
Liverpool utajua mwenyew
Brighton win
Wolves win
Waka book 5
Arsenal yupo form
Aston villa yupo form.
Odds ya arsenal inatamanisha
Odds ya aston villa inatamanisha.
Ufanye nini sasa? Based on the fact that villa katoka kumnyonyoa man city.... Ataingia uwanjani full kujiamini atatafuta goli kwa nguvu wakati huohuo arsenal ambaye anataka kusalia kileleni hata taka kupoteza point tatu kizembe. PATA WAKA MOTO NAONA BOTH TEAMS TO SCORE IKIWA BEST OPTION KWA LEO KULIKO KUTEMBEA NA VIJANA WA ARTETA MAZIMA.

options zingine ni pamoja na
Over 1. 5
Yeyote ashinde kipindi cha kwanza
Over 0.5 second half.
Aston ville over 0.5
 
bonus zao huongezeka kila baada ya mechi ngapi na kwa asilimia ngapi
 
NAKAZIA.
 
Code ya leo itatoka humu...
C54235 hii ni mother code(rough to be cooked soon!)

Madege makubwa makubwa yanayo- collide yenyewe kwa yenyewe eg, Renee&Monaco,Aston&arsenal,Madrid,and the rest.... nimeyahepa!...

Maana huko sare tasa ni za kufikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…