Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuuh mkuu yote uliyoongea upo sahihi khabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mshikaji wangu nafanya nae kazi mwezi uliopita amebutua million 60 afu aliweka buku tu, tangu sio hiyo hata nikila million mbili huwa naona ndogo hata kuitoa siitoi kwenye wallet.. Sasa mbaya zaidi yote inarudi Kwa Kanji hapo naanza kubetia pesa zangu

Uzuri pesa ninayo japo ya kawaida sana ila pesa kubwa Kanji ndoanazifaidi.. Kwa mwezi asilimia 80 ya kipato changu huwa analamba kanjibay japo mikeka yangu ni ya million kumi to above ila nitampata tuu

N. B. Ipo siku BBC watanifata nilishindaje kumbe nyuma ya hili nimepitia maumivu mazito

Mwisho : Nina mwezi wa tatu Sasa sidindishi na Wala sipati njaa hata siku nzima mda wote unafatilia mikeka, ukichana unaweka mwingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Otikiii🤪😆😃
 
Kwaiyo tumekubaliana Twende Sportbety kuna bonus, cash out, za uhakika, pamoja kulipwa kwa wakati,
Naikiwezekana wote wa betPawa hatuwataki humu Nina mashaka sana huenda ni mawakala wa Kanji na ndio maana kumpiga Kanji kupitia betPawa ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano
 
Back
Top Bottom