Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,587
- 1,393
Away team or over 2.5 ishatiki kitambo tu sababu mpinzani ana goli nne yeye 1Anaweza asifike over 2.5
Wapi mkuu mimi naangalia live hapa kapigwa la tanoBayani kabakwa la tano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda umewekwa ww hana la pili wala 2 na kakojolewa 5Bayani kabakwa la tano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usishangae zikafika saba vijamaa vikiingia tu kwenye box goliBayern ana kung'utwa huku hii kipigo ata mbwa akìingia msikitin hapigwi hivi.
5
huyo watu wanamuogopa kama ukoma vileSisikii malalamiko kuhusu man u, vipi wete mlimuua?
Mbona wanasema sana tu hapa!kumbe 1xbet tayari wana tigo pesa na hamsemi
Kuna watu wamempa Bayern over 2.5Away team or over 2.5 ishatiki kitambo tu sababu mpinzani ana goli nne yeye 1
Yaani Iko hivi away ASHINDE au jumla ya mechi yote ifikishe goli 3 na kuendelea