Millionaire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 300
- 503
Saturday
🤣🤣🤣🤣 Daaaaa ila hili jukwaaaa...!
Pole kwa kulipia watoto wa kanji adaDiscuss?!
View attachment 2838081
sio wangu ni hater mmoja twitterPole kwa kulipia watoto wa kanji ada
[emoji1787][emoji1787][emoji23] sema wabongo mnamuona muhindi ni kama mwenzenu.Pole kwa kulipia watoto wa kanji ada
HongeraDiscuss?!
View attachment 2838081
Mi wana thiiiimbaaaa ndo wamemaliza kazi kbs,,,,, jioooni kifala fala kakokotwaMikeka mitatu leo yote chali kila nikijipindua inachana team moja hakika kanji leo kapata pesa ya kuwatoa out familia yake visiwa vya miami.
Kuna muda unakuwaga na kaupepo flan amazing,,,, honestly hongera sana
How painful is this! 42/43!6835D66
Habari mkuu code ya leo usinisahauProject Bombay, Day 9 updates
Always, there is a room for improvements.
Sheet
View attachment 2838078
Graph
View attachment 2838079
Leo kuna Mechi chache alafu NGUMUUUU BALAAA YANI NGUMU MNOO...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cheza kwa step..Aya Leo ndo siku ambayo Kuna uwezekano wa kushinda coz ni match chache...shusheni codes
[emoji23] Hata mi nimeona aisee.Leo kuna Mechi chache alafu NGUMUUUU BALAAA YANI NGUMU MNOO...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cheza kwa step..