Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,046
- 4,447
Mkuu si tulikubaliana BET PAWA alafu mbona hamna codes
Hivyo hivyo ..Leo kuna Mechi chache alafu NGUMUUUU BALAAA YANI NGUMU MNOO...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cheza kwa step..
Ila no betpawaShusheni codes tuedit.. Jana mikeka mingi ni timu moja au mbili zimechana ..na ni timu kubwa . Tujitahidi
Hamna Jana odds 150+ kaangusha timu Moja everything is possibleNajua kuweka code tu hapa tayari ni lost ticket...
Enwei 5DEB402...SP
Sema hizi za 1st half zinakuwaga ngumu kumeza anyways let luck be on usNajua kuweka code tu hapa tayari ni lost ticket...
Enwei 5DEB402...SP
Wanakumbe 1xbet tayari wana tigo pesa na hamsemi
Hahaha nikadhani ulitikiHamna Jana odds 150+ kaangusha timu Moja everything is possible
Ndo hivyo tupambane tu mi Nina hasira ila hivyo...afu waafrika hawana magoli 0-0 kibao caf.. tuangalie Hilo na hawanaga comeback Wala late goalsHahaha nikadhani ulitiki
Kuangusha team moja si ndo kawaida ya betting
Wengine tumemramba ndo mana hatuogopi[emoji21]yaani na hasira za jana bado watu wanabet na betpawa . [emoji3064]Kweli limbwata