Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,049
- 10,502
Sasa huko ulifuata nini tena kiongozi....nyie mtakuja mnifanye na mimi nije kuwa tapeli... kwasabab me huisi zama hizi za utandawazi na exposure kumtapeli mtu kwa mtindo huo ngumu haswa kwa njia ya mtandaoHuyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..View attachment 2838330
nisomee weweSoma nilichoandika mstari wa mwisho
Duuh ila fresh5C6C887 sportybet
Tshs 10 katika ubora wake
Hii kampuni haina faida yoyote lakini watu mnakomaa tuuu8233DF2 Bp tujaribu
kwani bonus zao sporty zinaanzia kwa odds ngapi au wanazitoa kwa namna gani? nieleweshe hapo nijue.,Nakushauri kama mwanangu..hii nguvu tumia kwenye sportybet utapata matreni yenye faida kwa odds ndogo tu
LimbwataHii kampuni haina faida yoyote lakini watu mnakomaa tuuu
Mi cjui hayo ila unda mkeka wenye timu hizo hizo uone...kwanzia kwenye odds mpaka bonus ikiwa treni la odds nyingi kama 100 kuandendelea utaona sporty Kuna hela zaidi ya Mara tatukwani bonus zao sporty zinaanzia kwa odds ngapi au wanazitoa kwa namna gani? nieleweshe hapo nijue.,
Niko hapa nasubiri wataalamu wajibuNaomba niulize kitu
Mfano una mkeka wa mechi 15 unatoa 50k afu ukasema uflex 14 matches ulipwe let's say 5k... ikitiki yote unalipwa 50k yako au ndo bac tena mkeka unaisha team 14 zikitiki
Unalipwa hela iliyokuja baada ya Kuflex..!!Naomba niulize kitu
Mfano una mkeka wa mechi 15 unatoa 50k afu ukasema uflex 14 matches ulipwe let's say 5k... ikitiki yote unalipwa 50k yako au ndo bac tena mkeka unaisha team 14 zikitiki
Aaah okay asante...Unalipwa hela iliyokuja baada ya Kuflex..!!
Home over 1.5[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]Mamelodi Vs Pyramid
Both Teams to Score - NO
1xBet : ESTT6
*Stake High
Uzuri bet power mfumo wao ni friend user compare kwa nyingine zote zilizobakia zipo complicated sana tunatamani kuhama maana hata odd wanapunja sana compare na wengine ila huko kwingine interface zao ni ngumu sana kutumiaHii kampuni haina faida yoyote lakini watu mnakomaa tuuu
Sawa endelea...una uhuruUzuri bet power mfumo wao ni friend user compare kwa nyingine zote zilizobakia zipo complicated sana tunatamani kuhama maana hata odd wanapunja sana compare na wengine ila huko kwingine interface zao ni ngumu sana kutumia