nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
leo nimemsaliti girona tutakutana mechi zingine leo hapanaSasa malizia kwa Kumpa Barca[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Apo ndo terms and condition huwa zinauska kama game itapgwa ndani ya 72hrs wataenderea na dakika ambazo zilibaki lakin kama ni tofauti na apo odds itafutwa na kuwa 1.0 ambayo ni kama ukuchezaSorry wakuu nilibetia game ya Granada na Ath Bilbao nilimpa Ath Bilbao ashinde au a-draw ila game imekuwa Interrupted wakati Ath Bilbao akiongoza kwa goli moja, hii inakuaje wakuu
✅✅✅Mamelodi Vs Pyramid
Both Teams to Score - NO
1xBet : ESTT6
*Stake High
Mbona kama Barcelona leo anashinda au draw.....au naota 😆Sasa malizia kwa Kumpa Barca[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Barcelona win am not sure for Barca get 3+ from girona company of investorsRoma - Fiorentina
Roma 0 Handicap
Barcelona - Girona
Barcelona to Win
Odds - 2.07
Hiyo 2000 ndio maximum stake kwa huo mkeka ukiweka 10000 payout inakuja kiasi kilichopitiliza limit yaoPrimierbet nimejaribu kutengeneza mkeka mrefu tu nikajaribu kuweka elfu kumi lakini wameniwekea limit ya elfu 2 hii imekaaje wadau.Nasaka kampuni ambayo unaweza piga hata milioni 100
Sorry mkuu, mkeka ulikuwa na timu tano nne zmetick ilibakia hiyo moja, wanafuta mkeka mzima au ni odds za game ambayo ipo canceled pekee?Apo ndo terms and condition huwa zinauska kama game itapgwa ndani ya 72hrs wataenderea na dakika ambazo zilibaki lakin kama ni tofauti na apo odds itafutwa na kuwa 1.0 ambayo ni kama ukucheza
Odds za game husika ambao watasikilza tamko la bodi la iyo match usika ko Kama game itaairishwa kwa Zaid ya sku 3 basi utalipwa kwa kukatwa pesa ya iyo match usikaSorry mkuu, mkeka ulikuwa na timu tano nne zmetick ilibakia hiyo moja, wanafuta mkeka mzima au ni odds za game ambayo ipo canceled pekee?
Shukrani mkuuOdds za game husika ambao watasikilza tamko la bodi la iyo match usika ko Kama game itaairishwa kwa Zaid ya sku 3 basi utalipwa kwa kukatwa pesa ya iyo match usika
Kwisha habari yakee...!!New casto ana wakati mgumu sana
Safi sana brother. Ifike mahali watu wajue hii ni kazi na inaweza kufanywa very professional kama ambavyo unafanya wewe.Project Bombay 01: Day 10 Updates
Asante Tottenham Hotspurs kwa kunifanya nifunge mahesabu mapema kabisa. Sasa hivi nakaa na ku enjoy football, mambo ya presha za mikeka ni mpaka kesho tena.
Sheet
View attachment 2838916
Graph
View attachment 2838917
Kauli mbiu ya leo: Maisha bora kwa kila mkamaria.
Kama invigilator au sio...sema jamaa hata Jana hajaponaSafi sana brother. Ifike mahali watu wajue hii ni kazi na inaweza kufanywa very professional kama ambavyo unafanya wewe.
Ulituma kweli mkuu? mbona codes za huklmu huwa nadaka sana ila hiyo sijaona?Mikeka bhana sometimes jau Yan Jana Man u kanikosesha pesa ya supu ety baada ya kumtandika Chelsea nkaamua kumpa DC kwa Bournemouth 1x na akaamua kuzingua peke ake nkajarbu na leo Celtic pia akakataa mazoea lakin cha ajabu toka jana pamoja na timbwili zote bado nna tren la match 50 ambalo bado lnasurvive na nlishare na wana humu japo siamni kama kuna aliefata mpaka sasa limeshatoa game 30 Kat ya 50 View attachment 2838918View attachment 2838919
Mainz na koln nawadai goli moja tu, nikalale usingizi mwororo, laa sivyo gonjwa la moyo lazima linikumbe saa tatu hii
Yeah, tunajaribu kupambana na kanji kwa kila namna. Watu tunaliwa pesa kila siku na kanjibai ila siku tukiotea tunafurahi bila kujua ni kiasi gani tumepoteza. Kwa kutumia njia hii ni rahisi kujua ni kiasi gani umepoteza na kiasi gani umepata.Safi sana brother. Ifike mahali watu wajue hii ni kazi na inaweza kufanywa very professional kama ambavyo unafanya wewe.