Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi jamani excluded number of goals na goal bound zina maana gani, nimeziona sportybet
Screenshot_20231211-162720.png
 
Leta code Acha ngonjera mkuu

Hizo timu ulizotaja hakuna uhakika WA kushinda
Kaa na ujinga wako wa kusubiri code , utaendelea kupigwa mpk basi.. nasikitika kwa una miaka haujawai kula kila siku unampa muhindi.

Alafu pia sijaandika kwasababu yako ila nimeandika kwa wale walio sirias na betting.

Ww endelea kuchangia kampuni
 
Kwenye vita na kanji hamtakiwi kugombana wenyewe kwa wenyewe
 
Majuzi kuna mwamba alitaja timu kuni na tatu ambazo ni mara chache kuchana,kuanzia ijumaa nilizipa double chance,aisee zote zimetoa,
Timu zenyewe ni
Gorona
Crotone
B leverkusen
Aston villa
Frunkfurt
Winterther
Chesterfield
Stockport count
Blomley
Leicester
Raith rovers
Kwa hapa bongo naiongeza na kmc ukiachana na matokeo ya juzi kwa azam msimu huu kmc mpe dc haijalishi ni home au away
 
Back
Top Bottom