Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mapambamo yaendelee ......last week nilimpasua 310k+ week hii imekuwa ya kibabe sana iimepotea 70k kwa mikeka minne kuchana kwa team moja kila nikirenew.....

Ama zako ama zangu mrussi
 
🎶🎶 Kazi na dawa!
Kula dundo hizo .. kupooza Ze Maumivuz!

Mbilia bel anakawambia " papaa ya mbongo te nzambe ya mobali" in lingala... Akimaanisha...

" Nilifunga ndoa ANGANI na yote yanawezekana, kupitia betting hata wewe unaweza fungia ndoa ANGANI! (Kwenye ndege, mawinguni)"
🎶🎶
Kula vitu!!!
 

Attachments

Ila huu upuuzi ndio maana kumbe watu wengi hawaweki CODE humu, hii ni akili ya hovyo sana.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Sorry bro sikujua kama utamid mimi huwa napenda kutania samahani sana sito kutania tena, usipo tuma codes utatufelisha wengi maana wengine hatujui hata kubeti kazi yetu ni kuchukua codes tu
 
Betpawa wanatupia post za wahuni waliowapiga,kwenye page yao ya fb, hivi kweli kampuni inaweza kufanya mchezo wa kutuzugia, 🤔🤔
 
Sijakuelewa master
Yaani Al Nassr anacheza na Al Shabbab kwenye Kings Cup mtoano
Sasa Al Nassr jana alipewa odds 2 na points leo zikashuka 1.72 mpaka 1.69
Sasa nikajiuliza Al Nassr kwenye Mtoano afungwe na Al Shabbab?
Nikaripuka Direct Win

Screenshot_20231211-221845.png
 
Back
Top Bottom