TANGAZO - TANGAZO - TANGAZO
SGR:-
Ninekuwa nikiwaza mnoo haya Ma SGR Trains ya SPORTBETY tunayotengeneza.Mie ni Member na ninekuwa nasuka kila siku
Huwa nawaza UVUMILIVU Gani ninao au tunao umestake 500 kwa mkeka wa milioni 10 au 50 then uvumilie kipindi Cashout inasoma milioni 3 au? Kweli Kabisaaa Moyo huo tunao?
Maana hapa tu Mechi tatu mtu hasubiri,fasta anatoa.
Sasa Mbali na changamoto za kuutoboa wote kuwa ngum,but hili la Kuvumilia ni gum kulikoooo.
Nimewaza na niaenda kutekeleza:-
Natafuta Kampuni ambayo haina Cashout mfano BETIKA,then huko ndio nasuka Matreni,au kampuni nyingine yoyote ambayo ina options za kutosha but with no Cashout button.
Hapo itakuwa nikiweka nimeweka.Then My favourite SPORTBETY itakuwa kwa Mikeka ya Kawaida,leo na kesho basi,mifupi tu.
Akili yangu imenituma hilo na ninaenda kulitekeleza.
Maana sitaki kujidanganya eti Cashout isome milioni 3 kwa mkeka wa milioni 20 eti nisubirie,duhhh hapana.So,Mantiki ya SGR train inapotea.
Our of BETIKA,ni Kampuni ipi with options nzuri but no Cashout