Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,957
- 8,206
Oi ukizitengenezea codes hizo matches jamaa anazotuma naomba ushare humuAiyaa...au post zote mda mmoja ili mtu akiweka mkeka amalize..
Oi ukizitengenezea codes hizo matches jamaa anazotuma naomba ushare humuAiyaa...au post zote mda mmoja ili mtu akiweka mkeka amalize..
Leverkusen anaweza kuja kupoteza maan ligi ya germany kila mtu akiwa kwake ni kichaaBora girona mi naona Leverkusen yupo karibu na kombe kabisa
Sportpesa pamoja na bonas unawez mpk milion 100Hiyo 20 yenyewe umesha ila?
Sportpesa huwez ku cash out mpk mechi zote uwe umtumia 3 way.TANGAZO - TANGAZO - TANGAZO
SGR:-
Ninekuwa nikiwaza mnoo haya Ma SGR Trains ya SPORTBETY tunayotengeneza.Mie ni Member na ninekuwa nasuka kila siku
Huwa nawaza UVUMILIVU Gani ninao au tunao umestake 500 kwa mkeka wa milioni 10 au 50 then uvumilie kipindi Cashout inasoma milioni 3 au? Kweli Kabisaaa Moyo huo tunao?
Maana hapa tu Mechi tatu mtu hasubiri,fasta anatoa.
Sasa Mbali na changamoto za kuutoboa wote kuwa ngum,but hili la Kuvumilia ni gum kulikoooo.
Nimewaza na niaenda kutekeleza:-
Natafuta Kampuni ambayo haina Cashout mfano BETIKA,then huko ndio nasuka Matreni,au kampuni nyingine yoyote ambayo ina options za kutosha but with no Cashout button.
Hapo itakuwa nikiweka nimeweka.Then My favourite SPORTBETY itakuwa kwa Mikeka ya Kawaida,leo na kesho basi,mifupi tu.
Akili yangu imenituma hilo na ninaenda kulitekeleza.
Maana sitaki kujidanganya eti Cashout isome milioni 3 kwa mkeka wa milioni 20 eti nisubirie,duhhh hapana.So,Mantiki ya SGR train inapotea.
Our of BETIKA,ni Kampuni ipi with options nzuri but no Cashout
Wale wa sportybet code hii hapa BA40FF4584F3BE - 2.7 ODDS BETWAY.
IWE HERI KWETU SOTE!
View attachment 2839993
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Wakuu kati ya mechi ya Man U vs Bayern au PSV vs Arsenal ipi itatoa over 1.5
nataka nijilipue mechi moja kati ya hizo niweka mzigo wa maana
Mechi ya man U jilipue over 3.5, mechi itakuwa magoli mengi sana!Wakuu kati ya mechi ya Man U vs Bayern au PSV vs Arsenal ipi itatoa over 1.5
nataka nijilipue mechi moja kati ya hizo niweka mzigo wa maana
Mechi ya Bayern na Man U haiko sirious wanakamilisha ratiba tu maana bayern amefuzu man u hata akishinda hawezi kufuzu rabda ndugu zao watoke draw
yMN6fbJbVteb Sportpesa Sportpesa ni ushindi mwingi ni ushindi mwingi😆😆
Kwa PSV sio do or die ameshafuzu tayari na atabaki kuwa wa pili hawezi kuipata nafasi ya kwanza. Lens hata akishinda wakalingana na PSV bado PSV atafuzu kwasababu ya head-to-head inambeba.Zote zina uwezekano mkubwa sana wa kutoa mkuu
Buyern kashafuzu Man U anapiga hesabu za videlo.... ashinde na wengine wa draw ndio apite
Itakuwa open game, watafunguka sana Man U kujitutumua washinde na hapo ndipo Buyern wanakuwa hatari sana, uwezekano wa magoli mengi kupatikana mkubwa sana
Arsenal kashafuzu, PSV ni do or die
Game itakuwa open pia maana Arsenal haina cha kupoteza zaidi ya wachezaji kutengeneza profile zao na PSV itajiachia zaidi kushambulia ili ishinde na kufuzu..... hapa kuna GG
NB
Mpira unadunda [emoji23]
Nenda ulekebishe hii code mkuu la si hivyo utalaumiana na watu buleD229B5E mikeka ya Pdidy so far
Sportybet
Edited 41389BEB76AF5 Sportbety