Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Viojvodina ipo league gani?RMADRID W
1.50
VOJVODINA WIN
1.50
ARSENAL OV 2 .5
NAPOLI OV 1.5
WEKAMKENAWATOTONIKOPALEEE
RomaniaViojvodina ipo league gani?
Okay nimeona basketball cjui serbiaRomania
Sema uwe unaunda codes inarahisisha kazi mkuuGG
MCB
AL AHED
SALZBURG
GALATASARAY
PETROJET
ADBEST
WALE POPO WA SAFARI ZA USIKU TUOMBEANE HERI MOSHI MOJA SAA MOJA JSIKU
Mudamkuu hizi tipsy za kuchambua pia kukupa codes n kukutia kisu shingoniSema uwe unaunda codes inarahisisha kazi mkuu
Aiyaa...au post zote mda mmoja ili mtu akiweka mkeka amalize..Mudamkuu hizi tipsy za kuchambua pia kukupa codes n kukutia kisu shingoni
Nilichokicomment na unachokiongelea ni tofauti.... Tukana ama tania uwezavyo ila wazazi wa mtu wawekwe pembeni.Humu ukichukulia serious kila kitu... Hukuwezi... Humu Kuna mida ya kupunguza stress ili maisha yaendelee...
Mipasho ni sehemu ya kazi...
Mida ya kusikiza wadhamini wetu!
Mfano mtu kapigwa kilo 2 kwa Bayern, ama kachaniwa na singida bs over 0.5...
halafu umwambie afuatilie habari ya mafuriko ya katesh....
Wakati moyo wake tu umejaa mafuriko ya hasira! Atakuelewa!?
Wakuu leteni hiyo mikeka tukopi basi. Mimi baada ya vipigo mfululizo nimepoteza confidence.GG
MCB
AL AHED
SALZBURG
GALATASARAY
PETROJET
ADBEST
WALE POPO WA SAFARI ZA USIKU TUOMBEANE HERI MOSHI MOJA SAA MOJA JSIKU
Mechi ya VIOJVODINA WIN imeshachezwa jana saa 20:30, ni ya VOJVODINA VS. NAPREDAK.Vojvodina kashinda 2-0MATCH OF THE DAY
MXB
NAPOLI OV 2.5
1.50
VIOJVODINA WIN
1.50
Mpe gg buyernWakuu kati ya mechi ya Man U vs Bayern au PSV vs Arsenal ipi itatoa over 1.5
nataka nijilipue mechi moja kati ya hizo niweka mzigo wa maana
Psv na ArsenalWakuu kati ya mechi ya Man U vs Bayern au PSV vs Arsenal ipi itatoa over 1.5
nataka nijilipue mechi moja kati ya hizo niweka mzigo wa maana