Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani Al Nassr anacheza na Al Shabbab kwenye Kings Cup mtoano
Sasa Al Nassr jana akipewa odds 2 na points leo zikashuka 1.72 mpaka 1.69
Sasa nikajiuliza Al Nassr kwenye Mtoano afungwe na Al Shabbab?
Nikaripuka Direct Win

View attachment 2839843
Hapo unyama
Ivi nikuulize ukiwa una stake mkeka unatakiwa uchague odds kuchanga ama unaondoa tiki ya odds kuchange?
 
Sorry bro sikujua kama utamid mimi huwa napenda kutania samahani sana sito kutania tena, usipo tuma codes utatufelisha wengi maana wengine hatujui hata kubeti kazi yetu ni kuchukua codes tu
Hapana mkuu nipo sawa sija mind wala kususa, sote tunatafuta, adui yetu ni Kanji sisi sote humu ni ndugu na marafiki. Mikeka nitashare kama kawaida, leo sijacheza team hazieleweki.

One love[emoji106]

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Yes
Wanaume wanamalizana Kiume
 
[emoji445][emoji445] Kazi na dawa!
Kula dundo hizo .. kupooza Ze Maumivuz!

Mbilia bel anakawambia " papaa ya mbongo te nzambe ya mobali" in lingala... Akimaanisha...

" Nilifunga ndoa ANGANI na yote yanawezekana, kupitia betting hata wewe unaweza fungia ndoa ANGANI! (Kwenye ndege, mawinguni)"
[emoji445][emoji445]
Kula vitu!!!
Daah we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana mkuu nipo sawa sija mind wala kususa, sote tunatafuta, adui yetu ni Kanji sisi sote humu ni ndugu na marafiki. Mikeka nitashare kama kawaida, leo sijacheza team hazieleweki.

One love[emoji106]

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Ahsante kaka kwa kunielewa nitajitahidi kutokuambia maneno yenye dhihaka na nitaendelea kufuatilia mikeka yako japo nina mtaji wa 10k ila ninaamini mdogo mdogo mtaji utakua
 
Hapo unyama
Ivi nikuulize ukiwa una stake mkeka unatakiwa uchague odds kuchanga ama unaondoa tiki ya odds kuchange?
Mdau sijakupata vizuri.
Ila kama odd changes inakuja ni bora kuchagua changes,maana hata usipochange itabadilika tu
Hiyo ni kukusaidia wewe kujua mabadiliko ya odds either imeshuka au imepanda.
Nikama notice vile, sometimes unaweza kukuta odds imeshuka ukajuta bure,so wanakueka change Ili uamue
 
FB_IMG_1702150153364.jpg
 
Sawa nimekuelewa
Ahsante sana
 
ndiyo usenge wa sportybet, naye ni muoga kama betPawa. anablock baadhi ya markets. ni kwasababu tu sina salio 1xbet. 1xbet hawabani markets kiboyaboya.
Screenshot_20231211-224628_SportyBet.jpg
 
ndiyo usenge wa sportybet, naye ni muoga kama betPawa. anablock baadhi ya markets. ni kwasababu tu sina salio 1xbet. 1xbet hawabani markets kiboyaboya.
View attachment 2839847
Heavy use we mzoefu wa Betting,usiwe na Jazbaaa mzee baba

Hata hao 1xbet kuna Mechi hawaachii options zote

League yenyewe ya Iran ilivyo complicated?

Hizi Kampuni zipo kibiashara na sivyo tunavyotaka sie wateja
 
Sijui watu wakoje yaan. I hate tabia ya kuhusisha wazazi kwenye mambo yasiyo maana. Ni utovu wa nidhamu tu yan.
Humu ukichukulia serious kila kitu... Hukuwezi... Humu Kuna mida ya kupunguza stress ili maisha yaendelee...
Mipasho ni sehemu ya kazi...

Mida ya kusikiza wadhamini wetu!

Mfano mtu kapigwa kilo 2 kwa Bayern, ama kachaniwa na singida bs over 0.5...

halafu umwambie afuatilie habari ya mafuriko ya katesh....

Wakati moyo wake tu umejaa mafuriko ya hasira! Atakuelewa!?
 
Back
Top Bottom