Ndomana watu wanacheza magoli.Kanji anapiga hesabu yake nini anapata na nini anapoteza anatoa mzigo kwa timu shughuli inaishia hapo Betting ina biashara chafu nyuma yake.
Hua napumzika tuu, sasa hapo kwenye kupumzika ni muda gn ndo hua haielewekiNimeamini huwezi ACHA kubeti mbaga jr.
😂 Kivumbi leooooooNishazoea akija kwangu anachukua simu yangu kucheza game na kijisnap af mi natumia yake, Sasa Leo nimeyakanyaga.!!!!!
Nataka nimwamshe apa nimpige vichwa ndo hasira zipungue nilale
Ndazitumia kuweka dau kubwa , na huu ndo tunaitampangilio na uchaguzi sahihi wa timu ambao unabahati ndani yake.Majuzi kuna mwamba alitaja timu kuni na tatu ambazo ni mara chache kuchana,kuanzia ijumaa nilizipa double chance,aisee zote zimetoa,
Timu zenyewe ni
Gorona
Crotone
B leverkusen
Aston villa
Frunkfurt
Winterther
Chesterfield
Stockport count
Blomley
Leicester
Raith rovers
Ungempiga hivyo hivyo bila kumwamsha.Nishazoea akija kwangu anachukua simu yangu kucheza game na kijisnap af mi natumia yake, Sasa Leo nimeyakanyaga.!!!!!
Nataka nimwamshe apa nimpige vichwa ndo hasira zipungue nilale
Labda ndoo ya majiWazee wazee msimu huu Girona anaweza beba ndoo ,
Mdinye kidinyo cha hasira kumaliza hasira zako mkuuNipo napekua simu ya heartbeat wangu apa naona Leo kasahau kufuta mauchafu yake af kalala fofofo aisee na izi stress za kubeti natamani kumnyonga na mto 🤨
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeye anashindaa mkuu...!!Mbona codes zako zote nazichukua na sishindi?
😬Mbona codes zako zote nazichukua na sishindi?
Mbona codes zako zote nazichukua na sishindi?
Probability ya kuchana kwa odd chache au timu chache ni ndogo mno kuliko hayo matren.ukwel tatizo ni mtaji tu.ila hakuna asiyependa kuwek odd 2 au 3.Issue sio kupenda matreni, tunatofautiana uchumi, we unastake laki nne odds mbili na sometimes unachana ila una zingine, unakuta mtu mwingine akitoa 50k tu kaharibu bajeti ya mwezi so unakuta wengi humu wa buku buku coz hata hizo odds 4 2 sio kwamba hazichani, zinachana vizuri ila ndo hivyo Leo unakula kesho unaliwa ila upo fresh coz uchumi unao.. mwingine wa buku buku akipatia vizuri hela anapiga ndefu mpaka betpawa anapanic huko
Ni kweli issue inakuja wenye mtaji mkubwa wanakebehi wenye matren bila kujua hali ya uchumi inatofautiana sana.Probability ya kuchana kwa odd chache au timu chache ni ndogo mno kuliko hayo matren.ukwel tatizo ni mtaji tu.ila hakuna asiyependa kuwek odd 2 au 3.
Amechanganyikiwa baba yakoSio kwel utakua umechanganyikiwa
Punguza jazba mkuu.Amechanganyikiwa baba yako