Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Majuzi kuna mwamba alitaja timu kuni na tatu ambazo ni mara chache kuchana,kuanzia ijumaa nilizipa double chance,aisee zote zimetoa,
Timu zenyewe ni
Gorona
Crotone
B leverkusen
Aston villa
Frunkfurt
Winterther
Chesterfield
Stockport count
Blomley
Leicester
Raith rovers
Ww una akili sana niliwaambia watu wakapuuza
 
Kuna mkeka Nilibet mkeka wa mechi 10 ktk mechi hizo 10 kuna mechi ya club brugge nilimpa afunge goli kuanzia 1 mechi zote zimetiki sasa kumbe nilikosea hii mechi ya brugge nikambetia mechi ya tareh 14 badala ya mechi ya jana. 300k sijui kama atafunga goli dhidi bodo kwenye uefa dah.
Atafunga tu na game ya Jana c ajapata goli
 
Kuna mkeka Nilibet mkeka wa mechi 10 ktk mechi hizo 10 kuna mechi ya club brugge nilimpa afunge goli kuanzia 1 mechi zote zimetiki sasa kumbe nilikosea hii mechi ya brugge nikambetia mechi ya tareh 14 badala ya mechi ya jana. 300k sijui kama atafunga goli dhidi bodo kwenye uefa dah.
una bahatii ya mtende mkuuu... hawajakupa cashout???
 
Back
Top Bottom