Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,981
- 4,116
Wakamaria siku za nyuma nilitaja baadhi ya team za kubetia msimu huu lkn kuna walio puuza wao wanasubiri matren na code!!
Kuna wengine wana bet kwa kukariri, wanabetia kina bayern, man city nk.
Leo narudia kwa mara ya mwisho mkipuuza shauri yenu.
Mechi za kubetia msimu huu mpka saa ni kama ifuatavyo.
Chesterfield huyu mpe win popote utakapo mkuta kwenye national ligi england,
Raith rovers yupo Scotland mpe win na over 1.5 odd utakuta imesimama 2+ .. utapo mkuta popote mpe
Winterthur huyu nikibonde huko uswisw anafungwa sana karibu mechi zote ila ww mpe afunge goli tu na odd yake 1.30+, huyu hata afungwe 100 lazima apate goli.
Aston villa akiwa home mpe win kama hachezi na team za top 6 , kama anacheza na team top 6 mpe afunge goli utakuta kapewa odd nzuri tu.. NB ni kwa mechi za hom tu.
Girona mpe win popote ila kama anacheza na zile team kubwa za laliga kiusalama mpe afunge goli usijipe uhakika sana
Ipswich huyu yupo championship mpe win akiwa hom kama yupo away mpe afunge goli
Bromley huyu akiwa hom mpe win kama away achana nae. Huyu yupo national ligi
Frankfurt,Hoffeinham hawa wape wafunge goli ktk mech zozote wanazocheza.
Bayer Leverkusen na stuttgart wape win isipokuwa tu ktk Big match wape magoli.
Thun na sion hawa wapo uswis ligi ya ya chin wanfatana ktk msimamo wa kupanda daraja hawa wape wafunge goli kuanzia 1
Cambuur hii ipo uholanz eerste divisie mpe afunge goli tu ni uhakika hata akifungwa mechi.
Psv huyu kila mtu anajua mpe win na over 1.5 akiwa ktk ligi tu, usije ukampa kwenye uefa ukaja nilaumu.
Kuna team inaitwa mohhamedan ya India mpe afunge goli ndo uhakika.
Union Saint Gilloise win akiwa hom hata acheze na wakubwa wenzie wa Belgium, msim huu ana jambo Lake zingatia hom tu. Akiwa away utaamua ww.
Anderlecht mpe afunge goli akiwa hom, kama kapewa odd ndgo sana achana naye.
Krassnodar na zenit hawa jamaa wanaongoza huko ktk ligi russia wakiwa hom wape win kama una mashaka dhidi ya wakubwa wenzao wape wafunge goli hao lazima wafunge kila mechi wakiwa hom.
Tottenham mpe afunge goli ktk mechi yoyte, zingatia afunge goli na sio kushinda mechi.
Eyupsor mpe win and over 1.5 ktk ligi yake anawakanda balaa yupo turkey lig ya chin
Parma yupo serial B mpe afunge goli ni lazima
Atretico akiwa hom mpe win, zingatia hom
Crotone akiwa hom mpe afunge goli ni lazima yupo serial b
Kuna team inaitwa sonderjyske ipe win na over1.5 ktk ligi ipo dernmark.
Kwa wale wenye mitaji mikubwa unaweza suka mkeke wa mechi zote nilizotaja na ukazibetia zote hapo wafunge goli kuaznia 1 na ukawe laki yako usubiri mamilion yako na wenye mitaji ya kawaida wape kama nilivoeleza hapo ukienda tofauti na nilivoeleza shauri yako.
Zingatia team nilizotaja ni kwa mechi za ligi zao tu sio uefa wala Europe na pia soma kwa makin uzingatie nimezungumzia team ikiwa away au home.
Team nyingine nayoibetia ni Liverpool japo sikushaur umbetia , kuna team nilizitaja siku zilizopita nimeziondoa na kuongeza zingine pia.
Me binafs naliwaga lkn kula ni aslimia kubwa.
Ushauri usibeti kimazoea na kufata mkumbo wa watu hum JF, acha kuchukua code wanazoweka watu humu, jipe muda wa kufuatilia team zinazofanya vzr. Me nimetoa team zangu hizo ambazo kwa msim huu nazitumia kutokana na uwezo wao mpk sasa