JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Hao wachezaji wa Barcelona Wana kosa Gani!?.... Unawaonea Bure tu!...Kum***e zao wachezaji wote wa Barcelona
Mchezaji namba moja wa kulaumiwa... Ni wewe Captain Fire ...
Captain Gani unashindwa kusoma upepo!? Kumbuka wao maumivu yako hawayajui wala kuwahusu..... Ya kwamba umeweka mzigo!
Kumbuka wao wanaocheza mpira,.... wewe unachezea hela!...
Kuna mmoja hapo anaechezea pesa... Anapaswa pia acheze na akili... Ya kusoma Alama za nyakati!!!