Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Angalau kesho nayo siku

FREE Gift ya SPORTBETY Tsh 2,500 nikaibetia Buku mia mane( 1,800)

Roho juu kama ipasuke kwenye team mbili nilizozipa CORNERS

CORNERS Atletico vs Lazio over 7.8 ikatoa 8 corners

PSG vs Dortmud over 8.5 dakika ya 96 ndio last Corner and over,kazi ngum

Pesa ya yangu kachapwa FREE Gift inatoa,BADO Buku yao ya Free GIFT nimalizie kabla hawajaichukuwa maana Fee Gift ina expiry time.

View attachment 2841821View attachment 2841822
Mnazingua sana kwani mkiwa mnashare codes kabla mtapungukiwa nini
 
Hatimae nimeimaliza miendo!
 
Attachments

  • Screenshot_20231214-010954.png
    Screenshot_20231214-010954.png
    21 KB · Views: 25
  • Screenshot_20231214-010715.png
    Screenshot_20231214-010715.png
    21.7 KB · Views: 23
  • Screenshot_20231213-182637.png
    Screenshot_20231213-182637.png
    14.2 KB · Views: 31
Mnazingua sana kwani mkiwa mnashare codes kabla mtapungukiwa nini
Ni FREE GIFT Mdau,ilikuwa ina Expire na nilikuwa sijaiona,so nilibet Haraka robo Saa kabla Mechi kazijaanza na wala zikifanywa analysis saana,ni Cards,Corners na Overs 1.5 tuu just like that.
Kwahiyo hata ningeweka match zilikuwa tayari on play.

My Concern on that,sio kushow that mkeka umetiki laaaa,ILA ni kusho kwamba FREE Gift ya SPORTBETY ambayo huwahainaga Cashout imeclick na hizo Free GIFT walikuwa wamezitoa now seems zimeanza,so tuwe aware nazo.

Nimehamia na Buku lao la FREE Gift the najua kesho ina expire watasepa nayo ,so Mdau kuna Mkeka wa Buku narudi nao ukiamka utajikuta na mkeka upo vizuri mnooo,maana mikeka Yangu 3 Tangu Jmosi ipo live,so na pick selections from there including these updated incoming games.

But sorry for that disappointment.

Get ready we andaa Buku tuuu
 
Aha basi unyama kaka nasubiria codes kutoka kwa nyinyi miamba
 
Back
Top Bottom