Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi jaman nimeaga rasmi kubeti maana this is too much nimeliwa mno hii miez miwili na stake naweka kubwa inauuma zaid
Miez miwili nimekula mara moja mkeka wa maana ule niliweka mia tano nikala mil 2 na kitu na zaid labda hizii za live ndo unakula ila nimekuwa nikiweka mikeka midogo ya odds 2-5 hela ndefu naliwa
Nimeliwa mno nimechoka naona betting hapana yaan litim linashinda wee ila siku ukiliwekea unaliwa
Ntabaki kwenye jukwaa kupiga story ila me kuweka tena mkeka NO
 
Nimeamia virtual nimechoka kuweka roho juu juu huku virtual kila dakika tano pesa na uzur katuni wake wanatabilika unajua kabisa kuanzia saa mbili arseno na live wanatoa droo dah nimechelewa sana ndugu zangu kumbe hela ya huku haungoj had dakika 90 nitano we amka saa kumi au shinda humo humo ni lost na won hadi laha mambo ya bayan funga saiv nooo
 
Mimi jaman nimeaga rasmi kubeti maana this is too much nimeliwa mno hii miez miwili na stake naweka kubwa inauuma zaid
Miez miwili nimekula mara moja mkeka wa maana ule niliweka mia tano nikala mil 2 na kitu na zaid labda hizii za live ndo unakula ila nimekuwa nikiweka mikeka midogo ya odds 2-5 hela ndefu naliwa
Nimeliwa mno nimechoka naona betting hapana yaan litim linashinda wee ila siku ukiliwekea unaliwa
Ntabaki kwenye jukwaa kupiga story ila me kuweka tena mkeka NO
Kesho asubuhi sana upo hapa umeshasuka mkeka unaomba ufanyiwe Editing hii ni vita ya kihicia zaidi kuna muda unapiga ,kuna muda unapigwa .unapokata tamaa ndio mafanikio yanakuja kipigo ulichopata ww mm pia nimepata ila leo mashallah
 
Mimi jaman nimeaga rasmi kubeti maana this is too much nimeliwa mno hii miez miwili na stake naweka kubwa inauuma zaid
Miez miwili nimekula mara moja mkeka wa maana ule niliweka mia tano nikala mil 2 na kitu na zaid labda hizii za live ndo unakula ila nimekuwa nikiweka mikeka midogo ya odds 2-5 hela ndefu naliwa
Nimeliwa mno nimechoka naona betting hapana yaan litim linashinda wee ila siku ukiliwekea unaliwa
Ntabaki kwenye jukwaa kupiga story ila me kuweka tena mkeka NO
Boss kama sjakosea kun kipindi ulikata tamaa pia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah hawa winterthur lazma wafunge hata kama anacheza na kigogo

Jbst aliongea kweli kumbe
 
When i see Bhazeloner i run away like a thief. Ziz is jingah jingah kubhwa jingah....... Pyeeeeeeee
 
Back
Top Bottom