Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi niliiacha kama jinsi ilivyo huku naendelea kufuatilia mechi Ile kuja kustuka asenal arsenal kashatangulia goli mala kidogo psv kachomoa nikasema Sasa ongezeni moja nifunge hesabu
Mala paaap dkk zinazidi kuyoyoma mama weee Wacha ni cash out Ile naamka asubuhi nakuta zote zimetiki kasolo tu hiyo moja ya asenal daaah nimejilaumu sana ningelikumbuka ninge flex mkeka asubuhi pesa ningelikuwa nayo daaaaaah.
Ndo hivyo mi tokea ule mkeka ambao mazembe alishindwa kufungana goli moji tu nikakosa odds 153 nimeona Bora niflex maana ukisema hata ucashout wanazifungia tu
 
Wakuu, Mimi naomba mnielekeze hii option Ina maana gani
 

Attachments

  • Screenshot_20231213-193356.png
    Screenshot_20231213-193356.png
    14 KB · Views: 32
Back
Top Bottom