Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

aisee haya makampuni yanayotumia selcom ishakuwa kipengele.. 888stars nao wamekaa na hela yangu siku ya 4 hiii naona bora kutumia makampuni yasiyotumia selcom.. MAANA UKIPATA MSG YA SELCOM MAANA AKE WAO WAMESHAWEKA HELA KWENYE KAMPUNI HUSIKA.. ILA HAO JAMAA 1XBET NA 88STARS SYSTEM YAO NI OVYOOOO BADO. utasumbuka sana inaweza chukua hata week kadhaaaa mpaka hapa bora utumie wakala hizi njia za deposit ni majanga hazitabiriki kabisa.
Kweli aisee
 
Hii kitu iliwai nitokea kipindi natumia parimatch nilisumbuana NAO kama siku 10 hivi pesa yangu ikarudishwa sasahivi sigusi kabisa parimatch niliwakimbia na sitorudi huko Kwa usumbufu nilioupata
 
HABARI MAAFISA UBASHIRI?

KWA MASIKITIKO MAKUBWA KABISA NATOA TAARIFA YA KUWA NIMETAPELIWA FEDHA YANGU NA SELCOM DUKA DIRECT (KAMPUNI INAYOTUMIWA NA 1XBET KWA AJILI YA KUWEKA NA KUTOA PESA) KIASI CHA TSH. LAKI MOJA (100,000).
HII FEDHA ILITAKIWA KUFIKA 1XBET KWA M_PESA KUPITIA HUYU TAPELI (SELCOM DUKA DIRECT).
WAZEE NIMEKOSA KABISA IMANI NA HUYU JAMAA SELCOM DUKA DIRECT.NIMEAMUA KUACHANA NA 1XBET KWA SASA KWA SABABU YA KUTOKUWA NA IMANI NA HUYU TAPELI.
1XBET ANASEMA DEPOSIT IMEKUWA REJECTED BY OPERATOR NA HUYU TAPELI( SELCOM DUKA DIRECT) ANASEMA PESA IMEFIKA 1XBET.JAMANI!!!!
CHA KUSHANGAZA HUYU TAPELI (SELCOM DUKA DIRECT) ANASEMA MIMI NDIYE NIWASILIANE NA 1XBET WANIWEKEE PESA YANGU!!!

ALA0BJIK200 Imethibitishwa. Tsh100,000.00 imetumwa kwa SELCOM DUKA DIRECT kwenye akaunti namba 84455476-9435728969 tarehe 10/12/23 saa 4:58 PM Ada Jumla Tsh3,000.00 (M-Pesa Ada Tsh3,000.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00). Salio lako la M-Pesa ni Tsh

View attachment 2841112

Mkuu 1xbet haijasajiliwa Tz hata hao Selcom wanafanya kimazabe tu.... NI KOSA KISHERIA

Hata tunao tumia mawakala bado ni njia za panya hazitambuliki rasmi, ukidhulumiwa huna pa kwenda (ila angalau mawakala wana uhakika zaidi)

Ukitaka kuwa safe angalau hakikisha unatumia kampuni zilizosajiliwa bongo(.co.tz) lazima zitakua chini ya Bodi ya michezo ya kubahatisha ambayo inasimamia haki na maslahi ya mkamalia pindi anapozinguliwa na kampuni za kubet

Waepuka sana na Helabet maana hawa kila baada ya muda wakipiga sana watu wanafunga biashara na kuja na jina lingine.... walianza kama 22bet na sasa ni Helabet

Hapo komaa na Selcom tu
 
Back
Top Bottom