Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Best advice ever kutoka katika huu Uzi, ukisoma comment za humu unaweza than watu humu ni looser hawajielewi kumbe akili tunazo sema wengine tunajaribu bahati zetu humu labda tutapata mitaji from betting [emoji23] na wengine tunafanya just for fun
Hakika

Wale 2.5 over man U anawasalimia
 
Man United unakosa over 0.5 shenz type?

Mikeka 3 mifupi ipo mpaka kesho tunaendelea, mmoja wa mwisho SGR nikampa Man united over 0.5 duhhhh

Man united anaetakiwa Draw tuu aingie EUROPA hilo team hili

Screenshot_20231213-003915.png
 
MAN UNITED [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Hata[emoji460] mojaaaaaaaaaa

Umeikosa EUROPA kwa sare tuuuuuuuuu

Juzi umechapwa na Bournemouth 3 Bila,tunajua unaweka nguvu huku,leo Sare Ili uingie EUROPA mwenzo Kobenhagen kaishamtuliza Galatasaray hapo hapo BADO umeshindwa
Nimeapa siangalii tena mechi za Manchester United mpka apate ushindi mara tatu mfululizo mmae hii Tim itaniua
 
Kuna mkeka Nilibet mkeka wa mechi 10 ktk mechi hizo 10 kuna mechi ya club brugge nilimpa afunge goli kuanzia 1 mechi zote zimetiki sasa kumbe nilikosea hii mechi ya brugge nikambetia mechi ya tareh 14 badala ya mechi ya jana. 300k sijui kama atafunga goli dhidi bodo kwenye uefa dah.
we chukua chako mapema.utakuja kujutia hiyo hela
 
Back
Top Bottom