Mbochong'a
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 771
- 1,321
Kwa kikosi hiki cha arsenal tujiandae kisaikolojia.
Daah!Home team imepewa ushindi wa goli hizo tayari.....wewe kuendelea kuipa ushindi, au suruhi(2-2)/(3-3) as loss (2-3)/(3-4) ikiwa home team magoli yake ni hayo uliyoyatolea mfano.
Hi code sijaielwa inamaana ndan8 ya dk 10 ya kipind cha kwanza baadhi ya timu ziwe draw.4BE69BA
Sportybet
2K+ Odds
CORNER itatoa maana zipo 7 so far,BADO 2 tuNgoja tujiandae kuhesabu kona kwa sevilla, huku kwa Arsenal Refa asiwe na huruma ni kadi tuuView attachment 2840801
Ya Sevilla na lens ndo inaweza kuwa 0-0Hii game ya Arsenal naona kama 0-0 hivi
Nilifanya ivo mkuu, nishapiga chiniMdinye kidinyo cha hasira kumaliza hasira zako mkuu
Looh mambo tayari yameshakua magumu..Yan mechi ya Arsenal hakuna kadi hata moja! Yule Lens na mwenzake Sevilla kona zimengangania palepale 7 na dkt zimeishaCORNER itatoa maana zipo 7 so far,BADO 2 tu
Ila Cards BADO, atleast first half ipatikane Moja
Maana Psv na Arsenal mpira wao unafanana,very soft na passes nyingiiiii.
Labda kipindi Cha pili ndio Cards zinakuwa nyingi
Unafikiri tunaostake sh 100 mia hatuna hela sio? Sawa
Mwamba kaa tulizana tafuta odd 3000 chap uje uchangie nasi hapa tuendelee kulipa miamia hizoUnafikiri tunaostake sh 100 mia hatuna hela sio? Sawa
Lost mapema tuD229B5E mikeka ya Pdidy so far
Sportybet
HapanaMnaocheki mechi ya Man u, magoli mawili yatapatikana?