monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,251
- 11,446
Endelea kuwasikiliza akina baba levoAgiza china mzigo wa nywel kwa mtaji wa million moja
Kule Kila wigi moja utapata kwa 27k then huku bongo unauza kwa 50k
Utapata faid kubwa mno
Achana na mambo ya ku-take risk